Away Lyrics – Marioo Ft. Harmonize

Away Lyrics - Marioo Ft. Harmonize

Away Lyrics – Marioo

Dakika 1440 hunitoki boo
Masaa 24 huondoki tu
Kwenye moyo wangu jenga
Sawa maana kila unapodunda Puuh

Nataja jina lako
Kwenye moyo wangu Ishi
Kila napotaka sema suuh baby
Naiona sura yako

You’re my angel Oh Lala lah
You’re my everything
You’re my everything
You’re my sweetie Talalah

Mi nataka niwe na wewe milele
Don’t you go away
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away

Mi nataka niwe na wewe milele
I know I know I know
Uzuri Uzuri wako unawapa chefu
Wenye chuki na hila

Basi kama rahisi kuwa na shepu
Waka jaribu Mloganzila
Eti nakesha nakuombea
Ndo kisha najiombea

Cause I see this love in the air
And I promise to never share
My baby boo asa mbona
Huniishi hamu

Kutwa kucha nakuongelea
Wewe nakuongelea
And I swear baby sio tu damu
Hata figo ntakutolea

Wewe nakutolea
Mwenzako huko nyuma nshazunguka
Sitaki hata kumbuka machungu
Yale si mapenzi vitunguu
Ila baby wewe ulinifuta machungu
Siku ukienda Utaniua mende

Kwa bonge la rungu
Don’t you go away
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away

Mi nataka niwe na wewe milele
Don’t you go away
Sioni kama ntapata zaidi ya wewe
Don’t you go away

Mi nataka niwe na wewe milele…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *